- 28,104 viewsDuration: 6:08Mtu mmoja anayedai kuwa miongoni mwa wanaoshukiwa kuhusika na uvamizi katika All Saints' Cathedral Nairobi amezungumza akidai kuwa walitumwa na wanasiasa fulani. Katika mahojiano na Citizen TV Kenya, mwanamume huyo amekiri kuwa wao hulipwa shilingi elfu mbili kuzua vurugu lakini wakati huu walipovamia kanisa hilo walilipwa shilingi elfu moja pekee.