Skip to main content
Skip to main content

'Nilikuwa sijui hata kushika bunduki'

  • | BBC Swahili
    60,105 views
    Duration: 1:34
    Mwandishi wa BBC @sammyawami alizungumza na Duncan Chege, Mkenya aliyekimbia Vita wakati akiipigania Urusi nchini Ukraine. Serikali ya Ukraine imeiambia BBC kuwa kwa sasa kuna karibu wapiganaji 3,000 kutoka Afrika wanaohudumu katika jeshi la Urusi, wengi wao wakidaiwa kudanganywa au kulazimishwa kujiunga na vita kupitia mawakala haramu wa uajiri waliowaahidi kazi nzuri na mishahara mikubwa nchini Urusi. #bbcswahili #Urusi #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw