Familia ya vijana wa Kiisraeli wakitekwa nyara wakati wa shambulizi la kushitukiza ndani ya Israeli

  • | VOA Swahili
    277 views
    Mkanda wa video uliochapishwa katika mitandao ya kijamii unaonyesha msichana wa Kiisraeli aliyehuzunishwa akipandishwa pikipiki na wapiganaji waliomteka, wakati mumewe akichuliwa kwa mguu na watu wawili. Vyombo vya habari vya Israeli vimeripoti kuwa wanafamilia hao walikuwa wanahudhuria tamasha la muziki wa densi katika jangwa wakati wanamgambo walipovamia eneo hilo. Wote hawajulikani walipo. - AP #israel #gaza #reels #igreels #videography #voa #hamas