Familia ya watoto wanne wenye ulemavu wa macho

  • | BBC Swahili
    292 views
    Mama Elizabeth Chesimet mwenye umri miaka 74, anaeleza maisha yake yalivyobadilika baada ya kujaaliwa kupata watoto tisa huku wanne kati yao wakiwa na ulemavu wa macho na maisha yalivyo kwa sasa baada ya watoto wake kukua. 'Kila nilipojifungua walipishana mlemavu wa macho na wa kawaida hadi mtoto wa mwisho' Mwandishi wa BBC Anne Ngugi amezungumza naye akiwa county ya Bomet na kuandaa taarifa hii 🎥 @judith_wambare #bbcswahili #kenya #ulemavu #ulemavuwamacho