Skip to main content
Skip to main content

Familia ya watu 83 inayoishi pamoja India

  • | BBC Swahili
    45,760 views
    Duration: 1:12
    Ndugu 83 wanatumia jiko moja, wanakula pamoja na kufanya maamuzi wa pamoja chini ya mkuu moja wa kaya. Kwa pamoja, wanalima ekari 120, wanajishugulisha na biashara ya usafiri na wanapika milo mikubwa ya kila siku kwa kutumia kuni. - - #bbcswahili #familia #majukumu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw