Kwenye tukio jipya katika kesi ya mauaji ya Sharon Otieno, familia yake sasa inaiomba mahakama kutomhukumia aliyekuwa gavana wa kaunti ya Migori Okoth Obado kifungo cha gerezani ikisema imemsamehe baada ya yeye mwenyewe kuiomba imsamehe. Mamaye Sharon, Melinda Auma, aliiambia mahakama kwamba familia hiyo ingependa Obado ahukumiwe kifungo cha nje ili asaidie kuwalea watoto wengine watatu wa Sharon.mahakama hiyo leo ilikamilisha kikao chake ili kucunguza maombi yaliyowasilishwa na pande zote kwenye kesi hiyo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive