- 5,667 viewsDuration: 29sFamilia hii ya Kifaransa ilikwama baharini kwa muda wa saa 16 baada ya chombo walichokuwa wamekodisha kupinduka. Baba mwenye miaka 50 na watoto wake wawili wa miaka 5 na 7, walibaki baharini bila msaada kwa muda huo. Walipoopolewa walikuwa wamechoka sana na dhaifu kwa sababu walikuwa wamemeza maji mengi ya bahari. Walipelekwa hospitalini lakini hali yao ilitengemaa na wakaruhusiwa kutoka muda mfupi baadaye. #bbcswahili #ajalibaharini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw