10,879 views
Duration: 3:32
Familia moja huko Lamu imewachwa na mahangaiko baada ya mpendwa wao kutekwa nyara ijumaa iliyopita na watu wanaoaminika kuwa maafisa wa usalama. Mohammed Obbo mkazi kisiwani Amu, alishikwa mateka huko Kiunga anakosemekana alikuwa ametemebelea familia yake baada ya shughuli zake za biashara.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya