Skip to main content
Skip to main content

Familia yalilia msaada wa kuutafuta mwili wa mtoto yaliyesombwa na maji Kajiado

  • | Citizen TV
    1,771 views
    Duration: 3:17
    Familia moja kutoka eneo la Simba Cement, kaunti ya Kajiado inatoa wito kwa serikali na wahisani hasa mashirika ya kushugulikia majanga kuwasaidia kuutafuta mwili wa mtoto wao, aliyesombwa na mafuriko tarehe 6 mwezi uliopita, katika Mto Meruweshi, na hadi leo mwili wake haujapatikana. Juhudi za majirani na wakazi wa eneo hilo kuwasadia kuuopoa mwili huo hazijafaulu, walifanikiwa tu kupata mkoba na vitabu vya mwanafunzi huyo wa gredi ya sita, Robert Masai na Maelezo zaidi.