- 2,934 viewsDuration: 50sKatibu katika wizara ya mambo ya nchi za kigeni Dr. Kipkorir Sing'oei, amekabidhi familia ya hayati Raila Odinga mamia ya vitabu vya maombolezo kutoka ofisi za kenya zilizoko nchi za nje. Dr. Sing'oei amesema kuwa idadi ya vitabu hivyo vinaonyesha umaarufu wa marehemu Raila Odinga.