- 594 viewsDuration: 2:58Familia za waathiriwa wa maandamano sasa zinataka muda kuongezwa kuwapa nafasi zaidi ya kuwasilisha stakabadhi kwa tume ya kitaifa ya haki za binadamu kuwasaidia kupata fidia. Familia hizo zinasema baadhi yao bado hawajawasilisha stakabadhi hizo wakisema muda wa siku sitini hautoshi.