Skip to main content
Skip to main content

Familia za wanaume 2 waliotekwa nyara Mombasa na Isiolo zataka kujua waliko

  • | KBC Video
    327 views
    Duration: 3:36
    Familia mbili huko Mombasa na Isiolo zinasononeka kutokana na kutekwa nyara kwa wapendwa wao. Katika tukio la hivi punde, mwanamke mmoja katika eneo la Sisi kwa Sisi huko Soweto, Kaunti Ndogo ya Changamwe huko Mombasa, anasema wanaume wenye silaha walimteka nyara mumewe wa miaka 44 siku ya Krismasi na kuondoka naye kwa gari la kubebea mizigo lisilo na nambari za usajili. Na huko Isiolo, polisi wa akiba wa kitaifa alichukuliwa na wanaume waliokuwa wamevaa barakoa zaidi ya wiki moja iliyopita na hadi sasa hajapatikana. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive