1 Dec 2025 11:56 am | Citizen TV 352 views Duration: 2:31 Familia zaidi ya elfu moja kutoka wadi za Hirimani, Sala na Madogo kaunti ya Tana River wamepokea msaada wa chakula ili kujikimu wakati huu wanaposhuhudia uhaba wa chakula kutokana na ukame eneo hilo.