4 Jan 2026 7:09 pm | Citizen TV 3,190 views Duration: 2:16 Familia saba zimetambua maiti za jamaa zao waliofariki ijumaa usiku kwenye ajali ya barabarani eneo la Katumani, kaunti ya Machakos. Ajali hiyo ilitokea baada ya basi la abiria kugongana na matatu usiku wa ijumaa.