Familia zapinga mchakato wa fidia

  • | NTV Video
    47 views

    Familia za waathiriwa wa GenZ waliofariki kwenye maandamano ya kupinga utawala wa sasa wanataka kamati ya kuwafidia iliyoteuliwa idhihirishe kuwa hawakuwa wezi, magaidi na wala hawakutekeleza uhaini wakati wa maandamano.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya