Gaza: Kwanini Israel inawaita wanajeshi wa akiba?

  • | BBC Swahili
    970 views
    Israel sasa imewaita maelfu ya wanajeshi wake wa akiba kwa ajili ya mpango wa kudhibiti mji wote wa Gaza katika muda wa wiki chache zijazo. Katika mpango wa Israel wapalestina milioni moja wataamrishwa kuondoka punde tu makazi mapya yatakapokuwa tayari kusini mwa Gaza. Wengi wa washirika wa Isreal wamepinga mpango huo. Je hali ya wakazi wa Gaza itakuwaje iwapo mpango huu utatekelezwa? @RoncliffeOdit anaangazia hilo kwa kina katika Dira ya Dunia TV kwenye ukurasa wetu wa YouTube BBC Swahili. #bbcswahili #gaza #palestina Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw