Familia zilizoathirika na maandamano zazidi kulia

  • | Citizen TV
    1,170 views

    Familia za waathiriwa wa maandamano zimejipata katika hali ya sintofahamu baadhi zikishindwa kuwazika wapendwa. Familia moja inasubiri uchunguzi wa maiti uliozuiliwa kutokana na ukosefu wa taarifa kutoka kituo cha polisi cha Githurai. Mpendwa wao anaripotiwa kupigwa risasi kichwani katika eneo la Githurai .