- 411 viewsDuration: 2:46Wakati huo huo, Federation of Kenya Employers (FKE) imeonya kuwa maandamano ya mara kwa mara nchini yameendelea kuvuruga shughuli za biashara na kusababisha hasara kwa wafanyabiashara. Waajiri wanasema ni muhimu kuhakikisha biashara zinaendelea kufanya kazi bila usumbufu. Kauli ya FKE inajiri huku hofu ya maandamano ikisababisha biashara nyingi kufungwa katikati mwa jiji la Nairobi.