Skip to main content
Skip to main content

Foleni ndefu za mafuta zaanza kuibuka Kenya huku uhaba ukionekana

  • | Citizen TV
    7,449 views
    Duration: 3:10
    Uhaba wa mafuta umeanza kunukia nchini huku foleni ndefu zikishuhudiwa kwenye vituo vya mafuta sehemu mbalimbali nchini. Japo vituo vingi vimeendelea kuuza mafuta hapa jijini Nairobi, foleni za kununua mafuta zimeshuhudiwa katika maeneo ya Nyamira, Bonde la Ufa, Kati na hata Magharibi ya Kenya.