Skip to main content
Skip to main content

Gachagua adai SHA itasambaratika hivi karibuni

  • | Citizen TV
    4,264 views
    Duration: 3:03
    Kinara DCP Rigathi Gachagua sasa anadai kwamba bima ya Afya ya kitaifa ya SHA, itasambaratika kutokana na mzigo mkubwa wa madeni. Gachagua amezungumza Kirinyaga huku waziri wa Afya Aden Duale aliyekuwa kaunti ya Wajir akipuuza madai hayo akisema kuwa bima ya SHA ambayo imesajili zaidi ya wakenya milioni 30 inaendelea kunawiri huku serikali ikiwa tayari imelipa hospitali za umma na za kibinafsi shilingi bilioni 121 kufikia sasa.