Skip to main content
Skip to main content

Gachagua adai wanasiasa wanashinikiza kuangaliwa upya kwa wosia wa ndugu yake marehemu

  • | Citizen TV
    6,636 views
    Duration: 2:21
    Kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua sasa anadai kuwa wanasiasa ndio wanaoshinikiza kuangaliwa upya kwa wosia alioacha nduguye marehemu Nderitu Gachagua, kwa madai kuwa aliidhalumu familia ya marehemu na kuwapokonya urithi wao. Gachagua anasema kuwa warithi wote wa gavana huyo wa zamani, marehemu Nderitu Gachagua, ambao waliratibiwa kwenye wosia alioacha, walipata haki yao.