4 Jan 2026 7:16 pm | Citizen TV 1,559 views Duration: 1:18 Kinara wa DCP Rigathi Gachagua ameshutumu hatua ya Rais William Ruto kuanzisha upya vita dhidi ya dawa za kulevya nchini, akisema Rais mwenyewe alikatiza vita hivyo alipobanduliwa mamlakani kama Naibu Rais