Skip to main content
Skip to main content

Gachagua amkosoa Rais Ruto kwa sakata ya mafuta

  • | Citizen TV
    8,454 views
    Duration: 1:30
    Kiongozi wa DCP, Rigathi Gachagua, amemshutumu Rais William Ruto kwa kile alichodai ni kupanga kukamatwa kwa maafisa watatu wa sekta ya mafuta wakiongozwa na katibu mkuu wa nishati mohamed liban. Akizungumza huko thika, gachagua amedai walilengwa kwa kukiuka maagizo ya mpango wa serikali na kuamua kununua mafuta moja kwa moja ili kudhibiti bei ya mafuta. Wakati huo huo, seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi, aliyetimuliwa kama naibu kinara wa ODM, amesema hatapinga uamuzi huo na ataendelea kuimarisha muungano wa linda mwananchi.