- 375 viewsKinara wa DCP Rigathi Gachagua amesema Kenya inaelekezwa visivyo kutokana na ufisadi. Akizungumza kwenye mahojiano nchini Uingereza, naibu rais huyo wa zamani alimlaumu rais William Ruto kwa madai ya kueneza ufisadi kupitia wizi wa rasilmali ya umma, jambo ambalo anasema imepandisha gharama ya maisha.