- 668 viewsDuration: 2:40Kinara wa DCP Rigathi Gachagua amemtetea rais mstaafu Uhuru Kenyatta aliyekosolewa pakubwa na wanasiasa wanaounga mkono serikali kuhusiana na matamshi yake ya hivi maajuzi kuhusu nafasi yake kama Kinara wa chama cha Jubilee. Gachagua akisema kuwa rais mstaafu ana uhuru wa kutoa maoni yake binafsi kuhusu siasa za nchi.