Skip to main content
Skip to main content

Gachagua amwonya Ruto kuhusu uchaguzi wa 2027

  • | Citizen TV
    915 views
    Kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua amemuonya Rais William Ruto kuwa haitajalisha mgombea mwenza atakayemteua kwenye kinyang'anyiro cha mwaka ujao, akisema bado atabwagwa. Gachagua ameshikilia kwamba jamii ya Mlima Kenya imemtema Rais Ruto na atakuwa na kibarua kigumu sana kuukwea mlima tena. Gachagua amesema hata Ruto akimchagua kiongozi maarufu kutoka eneo hilo kama mgombea mwenza, bado atateleza. Ben Kirui na taarifa hiyo.