Skip to main content
Skip to main content

Alienda Saudi kutafuta Riziki, akahukumiwa viboko 100

  • | BBC Swahili
    22,291 views
    Duration: 2:43
    Simulizi ya Esther Wanga Muthoni, mfanyakazi wa ndani kutoka Kenya aliyekumbwa na adhabu ya viboko nchini Saudi Arabia imeibua mjadala kuhusu haki za wafanyakazi wa kigeni katika mataifa ya Ghuba. Tukio hilo limezua maswali kuhusu matumizi ya adhabu za viboko katika mfumo wa sheria wa Saudi Arabia, pamoja na changamoto na mazingira magumu yanayowakabili maelfu ya wafanyakazi wa kigeni wanaokwenda kutafuta ajira katika mataifa hayo. Asha Juma anaelezea #bbcswahili #kenya #EstherMuthoni Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw