Skip to main content
Skip to main content

Gachagua: Maandamano bado yapo

  • | Citizen TV
    5,267 views
    Duration: 2:36
    Kinara wa DCP Rigathi Gachagua naye anasema kuwa maandamano dhidi ya serikali kulalamikia gharama ya juu ya maisha yatafanyika chini ya wiki moja kama ilivyoratibiwa. Akizungumza kaunti ya Muranga, Gachagua aliendeleza kampeni za kumng'atua mamlakani rais William Ruto kwenye uchaguzi mkuu ujao.