- 1,369 viewsDuration: 4:25Mrengo wa upinzani umeapa kudumisha umoja wao kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka-2027. Wakiongozwa na kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua, viongozi hao walipuzilia mbali madai yaliyotolewa hivi majuzi na rais William Ruto, akisema kuwa hana mpinzani madhubuti kwenye uchaguzi mkuu ujao, wakithibitisha kwamba mkakati wao wa kumuunga mkono mgombeaji mmoja wa urais ungali shwari na kwamba unajadiliwa. Gachagua alikariri kuwa muungano wa upinzani una mkakati wa kuibuka kidedea ambapo amesema wana imani watamshinda rais Ruto kwenye uchaguzi huo na kuimarisha mustakabali wa taifa hili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive