4,717 views
Duration: 55s
Aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, amesisitiza kuwa muungano wa Upinzani utaafikiana kuhusu mgombea wa urais atakayewakilisha muungano huo katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Gachagua amesema kuwa malengo binafsi ya viongozi hayawezi kushinda nia ya pamoja ya kumng’oa Rais William Ruto mamlakani. Gachagua alizungumza alipohudhuria ibada ya Jumapili katika eneo la Kipipiri, Kaunti ya Nyandarua. Rigathi Gachagua Aliyekuwa Naibu "Sisi tutashikana kama United Opposition na tutachukua candidate mmoja na lazima Millenials na Gen-Z watusaidie lakini tumesema pia wao lazima wapewe muelekeo