Skip to main content
Skip to main content

Gavana Anne Waiguru awataka Wakenya kumuunga mkono rais Ruto kuchaguliwa tena

  • | Citizen TV
    265 views
    Duration: 2:10
    Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru amewataka wakenya kumuunga mkono rais William Ruto kuchaguliwa tena, akitaja rekodi yake ya maendeleo na juhudi za kugawa rasilimali za nchi kwa usawa. Akizungumza katika kaunti ya Kisii, Waiguru aliwataka wakazi wa eneo hilo kuungana na wakenya wengine kuunga mkono azma ya Ruto ya kuchaguliwa tena.