- 12,906 viewsDuration: 6:04Magavana waliohusishwa na ufisadi wamefika katika makao makuu ya tume ya kupambana na ufisadi kuhojiwa kuhusu ufujaji wa pesa katika kaunti zao. Gavana wa bomet hilary barchok na gavana wa zamani wa Bungoma wykliffe wangamati wamehusishwa na kupotea kwa mamiliaoni ya pesa katika kaunti. Seth olale anaungana nasi moja kwa moja kutoka makao makuu ya EACC.