- 28,187 viewsDuration: 2:12Maafisa wa polisi kaunti ya Narok wameanzisha uchunguzi kufuatia mauaji ya mwanafunzi wa darasa la nne ndani ya shule ya msingi ya Seventh Day Adventist aliyechinjwa kabla mwili wake kutupwa chooni. Maafisa wa elimu kaunti hiyo wakiagiza kufungwa kwa shule hiyo mara moja ili uchunguzi ufanyike.