9 Sep 2025 1:40 pm | Citizen TV 172 views Duration: 1:18 Gavana wa Baringo, Benjamin Cheboi, amewahimiza vijana kukumbatia vyanzo mbadala vya riziki kama njia ya kukomesha hali ya ukosefu wa usalama wa mara kwa mara katika eneo hilo.