22 Sep 2026 7:23 pm | Citizen TV 164 views Gavana wa Kaunti ya Narok Patrick Ole Ntutu amewarai maskwota waliofurushwa kutoka wadi ya Melelo katika Msitu wa Maasai Mau huko Narok Kusini kuwa na subira huku serikali ikithibitisha wanufaika.