Skip to main content
Skip to main content

Gavana Simba Arati asema maziwa yatasambazwa shule za chekechea Kisii

  • | Citizen TV
    354 views
    Duration: 54s
    Kaunti ya Kisii yazindua ujenzi wa kiwanda cha maziwa kinacholenga kusambaza maziwa kwa shule za chekechea ECDE na kulenga faida ya ongezeko la thamani kwa wakulima wanaofuga ng'ombe.