- 73 viewsDuration: 2:47Gavana wa kaunti ya Busia Paul Otuoma leo alihojiwa na tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC kuhusu madai ya ulaghai kwenye utoaji zabuni ya shilingi bilioni 1.4 katika kaunti hiyo. Uchunguzi huo unatokana na malalamishi kutoka kwa wananchi na bunge la Seneti kuhusu madai ya ufisadi na wizi wa pesa za umma unaotekelezwa na maafisa wa kaunti hiyo hasa kupitia kuelekeza fedha kwingine na ununuzi usio halali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive