Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Isiolo Guyo akana tuhuma za utekaji nyara

  • | Citizen TV
    2,426 views
    Duration: 2:28
    Abdirahman mohamed, aliyekuwa waziri wa afya kaunti ya isiolo na anayedaiwa kudhulumiwa na gavana wa isiolo abdi guyo amevunja kimya chake kufuatia kile anadai ni dhuluma mikononi mwa gavana huyo kwa kuunga mkono hoja ya kubanduliwa kwake. Abdirahman aliyewachwa ruai baada ya kutekwa nyara katika hoteli moja huko maanzoni anasema hatua ya mkurungenzi wa mashtaka ya kupendekeza kukamatwa kwa wahusika imempa matumaini ya kupata haki.