Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Kajiado Joseph Ole Lenku akagua miradi ya kaunti na kuwahimiza wakazi kusajili SHA

  • | Citizen TV
    155 views
    Duration: 1:25
    Gavana wa Kajiado, Joseph Ole Lenku, amewahimiza wakazi wa kaunti hiyo kujiunga na bima ya afya ya SHA ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za matibabu na kupunguza gharama . Akizungumza wakati wa ziara yake katika eneo la Kajiado Kaskazini alikokagua miradi mbalimbali ya serikali ya kaunti ikiwemo shule ya ufundi ya Olekasasi hospitality ya saitoti na Olekasasi , aliahidi kuwa serikali ya kaunti itaendelea kuimarisha miundomsingi ya maji ili kuhakikisha wakazi wote wanapata maji safi na ya kutosha.