Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Kakamega ampigia debe mgombea wa UDA David Ndakwa

  • | Citizen TV
    1,308 views
    Duration: 1:10
    Gavana wa Kakamega, Fernandes Barasa ametoa wito kwa viongozi wa Ukanda wa Magharibi kudumisha umoja ili kuimarisha sauti ya eneo hilo katika siasa za kitaifa. Akizungumza katika Kanisa la Friends, Kaunti Ndogo ya Malava, amewataka wakazi kumuunga mkono mgombea wa UDA wa kiti cha ububge cha Malava, David Ndakwa, , akisema mwelekeo mmoja wa kisiasa utaipa jamii nafasi bora katika uongozi wa nchi.