19 Sep 2025 2:06 pm | Citizen TV 283 views Duration: 55s Gavana wa kaunti ya Machakos Wavinya Ndeti amezindua rasmi awamu ya tatu ya mchuano wa wavinya cup unaoendelea kukuza vipaji vya mashinani kaunti hiyo.