15 Apr 2026 10:31 am | Citizen TV 665 views Duration: 2:13 Gavana wa Kaunti ya Murang’a, Irungu Kang’ata, anamlaumu mdhibiti wa bajeti nchini kwa kuchelewesha uchunguzi wa stakabadhi muhimu, akisema hali hiyo inasababisha kuchelewa kwa utekelezaji wa miradi muhimu ya kaunti.