Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Kericho, Dkt Erick Mutai aagiza kutolewa kwa vibanda haramu mjini Kericho

  • | Citizen TV
    717 views
    Duration: 2:02
    Gavana wa Kericho, Dkt Erick Mutai, ameagiza kuondolewa mara moja kwa vibanda vya biashara vilivyojengwa kwa makontena kando ya bustani ya Uhuru mjini Kericho.