Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Kwale azindua mabwawa Naserian na Kasemeni

  • | Citizen TV
    113 views
    Duration: 1:36
    Ni afueni kwa wakazi wa Mwereni eneo bunge la Lungalunga kaunti ya Kwale baada ya Gavana wa Kwale Fatuma Achani kuzindua mabwawa mawili ya maji ya Naserian na Kasemeni