8 Dec 2025 11:13 am | Citizen TV 416 views Duration: 1:56 Gavana wa Kaunti ya Narok Patrick Ole Ntutu ametoa hakikisho kuwa wanakandarasi watarekebisha mashine ya kupiga maji iliyoharibika katika kijiji cha Salabwek Narok Magharibi.