Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Narok awahimiza wanasiasa wenzake kushirikiana

  • | Citizen TV
    388 views
    Duration: 2:34
    Gavana wa Kaunti ya Narok Patrick Ole Ntutu amewahimiza mshindi wa uchaguzi mdogo wa Narok mjini mwezi jana kwa chama cha DCP Douglas Masikonte na Kanyinke Ole Kudate wa chama cha UDA aliyepoteza , kuzika tofauti za kisiasa na kuungana kwa minajili ya maendeleo ya mji wa Narok.