Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Nyamira Amos Nyaribo abanduliwa na bunge la kaunti kwa tuhuma za utumizi mbaya wa ofisi

  • | Citizen TV
    1,811 views
    Duration: 2:18
    Gavana wa Nyamira Amos Nyaribo kwa mara nyingine tena amebanduliwa na bunge la kaunti kwa tuhuma za utumizi mbaya wa ofisi. Wawakilishi wadi 23 kati ya 31 waliunga mkono hoja ya kumbandua mamlakani.