22 Dec 2025 1:35 pm | Citizen TV 584 views Duration: 48s Gavana wa Machakos, Wavinya Ndeti, amewaonya wakazi wa Mlolongo dhidi ya kuvamia maeneo yaliyotengewa ujenzi wa barabara, akisema tabia hiyo inachelewesha miradi ya miundomsingi katika kaunti hiyo.