- 3,620 viewsDuration: 1:42Kadiri viwango vya wasiwasi wa kijamii vinavyoongezeka miongoni mwa vijana duniani kote, wengi wanaepuka pombe na kuanza kujitibu wenyewe kwa kutumia dawa mbalimbali, ambazo zinaweza kuwa hatari, ili kudhibiti hali hiyo. Mwandishi wa BBC @frankmavura na maelezo zaidi? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw