Gereza la washukiwa wa 'uhalifu' lililokuwa na adhabu za kikatili

  • | BBC Swahili
    659 views
    "Watumwa walikuwa wanatolewa meno, kisha wanakatwa na kuwekewa pilipili na kuingizwa shimoni" Ni jengo lililotumika kama gereza la washukiwa wa 'uhalifu' mbalimbali, huku adhabu za kikatili zikitolewa kwao. Baadhi ya waliopelekwa katika gereza hilo miaka 200 iliyopita ni pamoja na wanawake ambao walipata watoto nje ya ndoa. Mwandishi wa BBC Seif Abdalla Dzungu alitembelea Gereza hilo lililopo kusini mwa pwani ya Kenya na kuandaa taarifa hii. 🎥: @frankmavura #bbcswahili #kenya #mombasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw